Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Wageni kutoka Jimboni kwake Kogwa, Jijini Dodoma waliotembelea Bunge leo.
Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson (katikati waliokaa mbele) akizungumza na Wanawake Wajasiriamali kutoka Jijini Mbeya waliotembelea Bunge leo. Kulia ni Mbunge wa Chunya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka Mkoa wa Mbeya Mhe. Victor Mwambalasu.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson (katikati) katika picha ya pamoja na Wanawake Wajasiriamali kutoka Jijini Mbeya waliotembelea Bunge leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...