Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akipeana Mkono na Mkuu wa Idara ya Huduma za benki kidijitali na mageuzi ya kiteknolojia wa benki ya NBC Bw. Deogratius Lazari Mosha kwenye banda la benki hiyo katika maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba 2019 viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...