Ofisa
mwandamizi wa Bima Washirika la Bima la Taifa NIC, Catherine
Nangali,kulia akimkabidhi Elisa Moses Mjema,kushoto mfano wa hundi ya
Bima ya maisha iliyoboreshwa. wa pili kushoto ni Ivonne Elisa, Mtoto
wake na wapili kulia ni Ofisa Bima wa NIC Vicent Rogath. Makabidhiano
hayoyalifanyikaka katika banda la maonyesho ya 43 ya sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam viwanja vya Mwalimu Nyerere.
Mkurugenzi
wa Masoko na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)
Elisante Maleko (Kulia) akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania,Hamadi Ndee mfano wa
hundi ya Bima ya maisha iliyoboreshwa.makabidhiano hayoyalifanyikaka
katika banda la maonyesho ya 43 ya sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam viwanja vya Mwalimu Nyerere
Baadhi
ya wakazi wa jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja baada
ya kukabidhiwa Hundi zao za Bima ya maisha iliyoboreshwa katika banda la
maonyesho ya 43 ya sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam viwanja vya Mwalimu Nyerere
Mkurugenzi
wa Masoko na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)
Elisante Maleko (Kulia) akimkabidhi Hamadi Rugambwa Ndibalema,mfano wa
hundi ya Bima ya maishailiyoboreshwa.makabidhiano hayoyalifanyikaka
katika banda la maonyesho ya 43 ya sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam viwanja vya Mwalimu Nyerere
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga akiwa mbele ya banda la NIC wakati wa maonyesho ya 43 ya Sabasaba
yanayoendelea Jijini Dar es Salaam viwanja vya Mwalimu Nyerere.Wa pili
kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja NIC Elisante Maleko
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...