
Rais Mstaafu akielezewana namna
teknolojia ya meza ya kupasha na kupooza vinywaji na chakula (Heating
Table) inavyofanya kazi baada ya kutembelea banda la Chuo cha Ufundi
VETA katika Maonesho ya biashara yanayoendelea katika Viwanja vya
Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muunganio wa Tanzania akipokea maelekezo namna ya kumfundisha mtoto kwa
vitendo kuhusu Sayari zinavyozunguka jua katika muhimili wake (Teaching
Aid Kit for outer space bodies), baada ya kutembelea banda la VETA
katika maonesho ya biashara yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu
Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...