Rais Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akipokea
kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Mhe. Balozi Monica Juma
Dhahabu pamoja na pesa iliyokamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Jomo Kenyatta jijini Nairobi zikitoroshwa kutoka Tanzania kwenye
hafla ya makabidhiano iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Jumanne Julai 24, 2019
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisaidia kuhesabu vipande
vya dhahabu huku akishuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi aliyevipokea kutoka kwa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Mhe. Balozi Monica Juma Dhahabu pamoja
na pesa zilizokamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta
jijini Nairobi zikitoroshwa kutoka Tanzania kwenye hafla ya
makabidhiano iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Julai
24, 2019.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kushuhudia Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba
Kabudi akipokea kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Mhe. Balozi
Monica Juma Dhahabu pamoja na pesa xzilizokamatwa katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi zikitoroshwa kutoka
Tanzania kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Ikulu jijini Dar
es salaam leo Jumanne Julai 24, 2019
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Makamu wa Rais
Mhe Samia Suluhu Hassan akisalimiana kwa simu ya mkononi na Rais wa
Jamhuri ya Kenya Mhe Jomo Kenyatta baada ya viongozi hao kushuhudia
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa
Palamagamba Kabudi akipokewa kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa
Kenya Mhe. Balozi Monica Juma Dhahabu pamoja na pesa iliyokamatwa
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi
zikitoroshwa kutoka Tanzania kwenye hafla ya makabidhiano
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Julai 24, 2019.
Kushoto ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akifuatiwa na Mhe
Monica Juma. Kutoka kulia ni Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko
akifuatiwa na Profesa Kabudi na Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali
Mhe Biswalo Mgangha
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Waziri wa Mambo ya Nje
wa Kenya Mhe. Balozi Monica Juma baada ya kukabidhi Dhahabu pamoja na
pesa iliyokamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini
Nairobi zikitoroshwa kutoka Tanzania kwenye hafla ya makabidhiano
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Julai 24, 2019
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...