Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akiagana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...