Wananchi waliofika katika maonesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba 2019 wakiuliza maswali kwa timu ya wataalamu kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) walipotembelea banda hilo lililopo jengo la Saba Saba Hall kujionea shughuli zinazofanywa na mamlaka hiyo.
Wananchi waliojitokeza katika banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakipewa elimu juu ya masuala ya usalama na usafiri wa anga.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...