Dk.
Heavenlight Kavishe, Mmiliki wa Redio Kicheko Live akizungumza jambo na
kuwakaribisha wageni waalikwa malimbali waliofika kwenye hafla hiyo
inayoendelea hivi sasa mjini humo,ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Mhe.Anna Mghwira
HOMECOMING
: Wakongwe wa utangazaji wamekutana kwenye uzinduzi wa Redio Kicheko,
katika Manispaa ya Moshi. Kutoka kushoto ni Jacob Tesha, mtangazaji wa
zamani wa RTD, Joseph Mapunda aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya
TSN, inayochapisha Magazeti ya Serikali ya Daily News/Sunday News, Salim
Mbonde, mtangazaji wa zamani wa RTD, Thadayo Ringo, mtangazaji wa
zamani wa Radio Habari Njema ya Moshi ambaye ni afisa mwandamizi wa
TCRA, na Abdul Ngarawa, mtangazaji wa zamani wa RTD. Radio hii mpya
inamilikiwa na mfanyabiashara wa mjini Moshi, Dk. Heavenlight Kavishe
(PhD) - Industrial Engineering. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mh. Anna
Mghwira, anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika uzinduzi huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...