Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Kangi Lugola akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Polisi,
Uhamiaji na Magereza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo
vilivyopo chini ya wizara.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara
jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Kangi Lugola akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Polisi,
Uhamiaji na Magereza (hawapo pichani), kikao cha kujadili utendaji wa
vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo
Meja Jenerali Jacob Kingu.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara
jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu,akifafanua jambo mbele ya
Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza (hawapo
pichani), wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo
chini ya wizara. Kulia ni Waziri wa wizara hiyo Kangi Lugola. Kikao
hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Kangi Lugola (kulia),Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Meja Jenerali Jacob
Kingu na Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba, wakipitia vitabu
wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya
wizara.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Kamishna wa Magereza, Faustine
Kasike akizungumza wakati wa Kikao cha kujadili utendaji wa vyombo
vilivyopo chini ya wizara.Kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Dk. Anna
Makakala.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Kamishna wa Uhamiaji ,Dk. Anna
Makakala akizungumza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo
vilivyopo chini ya wizara.Kushoto ni Kamishna wa Magereza Faustine
Kasike.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Kamishna wa Polisi, Benedict
Wakulyamba akizungumza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo
vilivyopo chini ya wizara.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara
jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...