Waziri  wa  Mambo  ya  Ndani  ya  Nchi, Kangi Lugola akizungumza wakati wa kikao na Uongozi  wa  Mamlaka  ya  Vitambulisho  vya  Taifa (NIDA), lengo la kikao hicho ni ukaguzi na utambuzi wa mali za mamlaka hiyo. Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Katibu  Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu,  akizungumza wakati wa kikao na Uongozi  wa  Mamlaka  ya  Vitambulisho  vya  Taifa (NIDA), lengo la kikao hicho ni ukaguzi  na  utambuzi wa  mali  za  mamlaka hiyo.Kushoto ni waziri wa wizara hiyo, Kangi Lugola. Kikao hicho kimefanyika  leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu  Katibu  Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akizungumza wakati wa kikao na Uongozi  wa  Mamlaka  ya  Vitambulisho  vya  Taifa (NIDA), lengo la kikao hicho ni ukaguzi na utambuzi wa mali za mamlaka hiyo. Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri  wa  Mambo  ya  Ndani  ya  Nchi, Kangi Lugola (katikati), Katibu Mkuu wa wizara, Meja Jenerali Jacob Kingu (kushoto)  na Naibu Katibu Mkuu ,Ramadhani Kailima (kulia) wakikagua orodha ya mali za Mamlaka  ya  Vitambulisho  vya  Taifa (NIDA),  wakati  wa  kikao  na uongozi wa mamlaka hiyo  lengo  ikiwa  ni ukaguzi  na utambuzi wa mali za mamlaka hiyo.Waliosimama ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dk. Anold Kihaule na Mkurugenzi wa Utawala na Fedha NIDA, Merckion Ndofi(kushoto). Kikao hicho kimefanyika  leo  jijini  Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkurugenzi  wa  Sheria  wa  Wizara  ya  Mambo  ya  Ndani  ya Nchi, Merlin Komba, akizungumza wakati wa kikao na Uongozi  wa  Mamlaka  ya  Vitambulisho  vya  Taifa (NIDA),lengo  la  kikao  hicho  ni ukaguzi na utambuzi wa mali za mamlaka hiyo. Kikao  hicho  kimefanyika  leo  jijini  Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkurugenzi  Mkuu  wa  Mamlaka  ya  Vitambulisho  vya  Taifa(NIDA), Dk. Arnold  Kihaule akiwasilisha muhtasari wa mali za mamlaka hiyo mbele ya uongozi  wa  juu  wa  Wizara  ya  Mambo  ya  Ndani  ya  Nchi, lengo la kikao hicho ni ukaguzi na utambuzi wa mali za mamlaka hiyo.Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...