
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),Selemani Jafo akizungumza kwenye mkutano mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, Waziri Mkuu amemwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na watumishi wa Benki ya NMB,
wakati akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala
za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini
Mwanza, alipomwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai
23.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo,
Wakati na Kilimo wa Benki ya NMB, wakati akikagua mabanda, katika
mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT),
uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza,
alipomwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Meneja wa Mahusiano ya Serikali
Benki ya NBC, William Kallaghe, wakati akikagua mabanda, katika mkutano
mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika
katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, alipomwakimwakilisha Rais
Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasikiliza watumishi wa Benki ya CRDB, wakati
akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za
Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini
Mwanza, alipomwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai
23.2019.
aziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na
Wakati Benki ya CRDB (kulia), Boma Raballa, wakati akikagua mabanda,
katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT),
uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza,
alipomwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019.
Kushoto ni Mwenyekiti wa ALAT Taifa, Gulamhafeez Abubakar Mukadam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...