Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Dan Kazungu akiteta jambo na Mama Maria Nyerere wakati wa ziara ya kihistoria yaliyofanywa na kikundi cha Kenya Maendeleo ya Wanawake Organization (MYWO) ambacho kilianzishwa mwaka 1952 kwa ajili ya kuhamasisha umoja na maendeleo ya wanawake, nyumbani kwa
Mama Maria Nyerere, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. Aliyeketi
kulia ni mwanasiasa mkongwe kutoka kenya, Muthoni Likimani, na wa kwanza
kushoto ni mwanasiasa mkongwe wa Tanzania na Rais wa kwanza wa
Pan-African Parliament (2004-2009),Gertrude Mongella.
Mwenyekiti
wa shirika la Maendeleo ya Wanawake (MYWO), Rahabu Mwikali, akimkabidhi
zawadi ya picha Mama Maria Nyerere wakati wa ziara ya kihistoria yaliyofanywa na kikundi cha Kenya Maendeleo ya Wanawake Organization (MYWO) ambacho kilianzishwa mwaka 1952 kwa ajili ya kuhamasisha umoja na maendeleo ya wanawake, nyumbani kwa Mama Maria Nyerere, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni.
Mama Maria Nyerere (Katikati) akipeana mkono
na mwanasiasa mkongwe kutoka kenya, Muthoni Likimani kama ishara ya
kumshukuru kwa zawadi walizoleta kutoka Kenya, wakati wa ziara ya kihistoria yaliyofanywa na kikundi cha Kenya Maendeleo ya Wanawake Organization (MYWO) ambacho kilianzishwa mwaka 1952 kwa ajili ya kuhamasisha umoja na maendeleo ya wanawake, nyumbani kwa
Mama Maria Nyerere, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. Wa kwanza
kushoto ni mwanasiasa mkongwe wa Tanzania na Rais wa kwanza wa
Pan-African Parliament (2004-2009),Gertrude Mongella.
Mwanaharakati na Mpigania uhuru wa Kenya Muthoni Likimani (94) akiwa na Mama Maria Nyerere (kushoto) baada ya kumkabidhi zawadi ya kikoi wakati wa ziara ya kihistoria yaliyofanywa na kikundi cha Kenya Maendeleo ya Wanawake Organization (MYWO) ambacho kilianzishwa mwaka 1952 kwa ajili ya kuhamasisha umoja na maendeleo ya wanawake, nyumbani kwa Mama Maria Nyerere, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni.
Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe. Dan Kazungu, akisalimiana na Mama Maria Nyerere wakati wa ziara ya kihistoria yaliyofanywa na kikundi cha Kenya Maendeleo ya Wanawake Organization (MYWO) ambacho kilianzishwa mwaka 1952 kwa ajili ya kuhamasisha umoja na maendeleo ya wanawake, nyumbani kwa Mama Maria Nyerere, jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. Aliyeketi kulia ni mwanasiasa mkongwe kutoka kenya, Muthoni Likimani, na wa kwanza kushoto ni mwanasiasa mkongwe wa Tanzania na Rais wa kwanza wa Pan-African Parliament (2004-2009),Gertrude Mongella.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...