Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akihutubia wakati wa kufunga Mkutano wa Mawaziri wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa waliokutana kwa siku kuanzia Septemba 19-20, 2019 jijini Dar es Salaam. Picha zote na Matokeo Chanya+. Meza kuu.
Mawaziri wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa waliokutana kwa siku kuanzia Septemba 19-20, 2019 jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza wakati wa kufunga Mkutano wa Mawaziri wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa waliokutana kwa siku kuanzia Septemba 19-20, 2019 jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Mchezo Dkt. Harrison Mwakyembe akimkaribisha mgeni rasmi kufunga Mkutano wa Mawaziri wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa waliokutana kwa siku kuanzia Septemba 19-20, 2019 jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Sekta ya Uchukuzi Bw. Leonard Chamriho akizungumza wakati wa kufunga Mkutano wa Mawaziri wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa waliokutana kwa siku kuanzia Septemba 19-20, 2019 jijini Dar es Salaam.
Mawaziri wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa waliokutana kwa siku kuanzia Septemba 19-20, 2019 jijini Dar es Salaam. Brass Bendi wakiongoza shughuli.
Mawaziri wakiwa katika picha ya pamoja.
Kamati ya maandizi.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi Na Mawasiliano Dkt Jim Yonazi (wa pili toka kulia, mstari wa mbele) pamoja na viongozi wengine wakiwa na watoa huduma walioshughulika na mkutano huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...