Mjiolojia kutoka Tume ya Madini, Asimwe Kafrika (kulia) akielezea aina ya madini yanayopatikana nchini Tanzania kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Geita kwenye banda la Tume ya Madini kwenye Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji wa Madini yanayoendelea mjini Geita, tarehe 21 Septemba, 2019. 
Mmoja wa watoto waliotembelea banda la Tume ya Madini kwenye Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji wa Madini yanayoendelea mjini Geita, akipokea kipeperushi kutoka kwa Mjiolojia kutoka Tume ya Madini, Asimwe Kafrika.

Mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Tume ya Madini kwenye Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji wa Madini yanayoendelea mjini Geita akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kupata maelezo kutoka kwa wataalam wa Tume ya Madini (hawapo pichani) tarehe 21 Septemba, 2019
Fundi Sanifu Migodi Mwandamizi kutoka Tume ya Madini, Msafiri Kussa (kushoto) akielezea majukumu ya Tume ya Madini kwa mchimbaji wa madini ya dhahabu katika eneo la Rwamgasa, Charles Shiganga kwenye Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji wa Madini yanayoendelea mjini Geita, tarehe 21 Septemba, 2019.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...