Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Gervais Abayeho (kulia) akisalimiana na wacheza ngoma kutoka nchini Burundi waliokuja kushiriki katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki linalojulikana kama JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Gervais Abayeho na viongozi alioambatana nao akisalimia wananchi waliofika katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki linalojulikana kama JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Wacheza ngoma kutoka nchini Burundi wakitoa burudani katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki linalojulikana kama JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Gervais Abayeho (kulia) akiwa pamoja na wacheza ngoma kutoka nchini Burundi waliokuja kushiriki katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki linalojulikana kama JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...