Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Comred kheri Denice James leo ameongoza Kikao Cha Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Taifa Katika Ukumbi wa Sekretarieti Jijini Dodoma.
Wajumbe wa kikao wakimsikiliza Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Comred kheri Denice James, Kikao hicho cha Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Taifa Katika Ukumbi wa Sekretarieti kimefanyaika leo Jijini Dodoma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...