Siku ya leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule Ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja aka mkuu wa viumbe wa ajabu "Anunnaki Aliens" alizaliwa mjini Dar-es-Salaam,
Akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw. Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja),
Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja ni mtunzi na mwimbaji mahili wa muziki wa dansi leo ndio Happy Birthday yake.
MICHUZI TV NA MICHUZI BLOG KWA PAMOJA TUNASEMA HERI YA KUZALIWA KAMANDA NA MLEZI WETU WA HIARI!!!
MICHUZI TV NA MICHUZI BLOG KWA PAMOJA TUNASEMA HERI YA KUZALIWA KAMANDA NA MLEZI WETU WA HIARI!!!
Unaweza kuburudika na kusherekea naye katika kambi yao FFU-Ughaibuni
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...