Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Rais Mstaafu wa Zambia Mhe. Keneth Kaunda na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olubagan Obasanjo wakiteremka kwenye Jukwaa baada ya kutowa Heshima za Mwisho mbele ya Jeneza lenye Mwili wa Rais wa Zamani na Muasisi wa Taifa la Zimbabwe Marehemu Mzee Robert Gabriel Mugabe katika Uwanja wa Taifa wa Michezo jijini Harare Zimbabwe. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Hafla hiyo. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais Kenya Mhe. Uhuru Kenyata walipokutana wakati wa Hafla ya kutowa Heshima za Mwisho mbele ya Jeneza lenye Mwili wa Rais wa Zamani na Muasisi wa Taifa la Zimbabwe Marehemu Mzee Robert Gabriel Mugabe katika Uwanja wa Taifa wa Michezo jijini Harare Zimbabwe. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Hafla hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais Ethiopya walipokutana wakati wa Hafla ya kutowa Heshima za Mwisho mbele ya Jeneza lenye Mwili wa Rais wa Zamani na Muasisi wa Taifa la Zimbabwe Marehemu Mzee Robert Gabriel Mugabe katika Uwanja wa Taifa wa Michezo jijini Harare Zimbabwe. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Hafla hiyo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro baada ya kutowa Heshima za Mwisho mbele ya Jeneza lenye Mwili wa Rais wa Zamani na Muasisi wa Taifa la Zimbabwe Marehemu Mzee Robert Gabriel Mugabe katika Uwanja wa Taifa wa Michezo jijini Harare Zimbabwe. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Hafla hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili kwenye uwanja wa Ndege mjini Harare,Zimbabwe kushiriki hafla ya kutowa Heshima za Mwisho kwa aliyekuwa Rais wa zamani na Muasisi wa Taifa la Zimbabwe ,Marehemu Mzee Robert Gabriel Mugabe katika Uwanja wa Taifa wa Michezo jijini Harare Zimbabwe. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Hafla hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya wenyeji mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege mjini Harare,Zimbabwe kushiriki hafla ya kutowa heshima za Mwisho kwa aliyekuwa Rais wa zamani na Muasisi wa Taifa la Zimbabwe ,Marehemu Mzee Robert Gabriel Mugabe katika Uwanja wa Taifa wa Michezo jijini Harare Zimbabwe. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Hafla hiyo. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha Wageni kabla ya kushiriki hafla ya kutowa heshima za Mwisho kwa aliyekuwa Rais wa zamani na Muasisi wa Taifa la Zimbabwe ,Marehemu Mzee Robert Gabriel Mugabe katika Uwanja wa Taifa wa Michezo jijini Harare Zimbabwe. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Hafla hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwahutubia Wananchi waliofika katika hafla ya kutoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye Mwili wa Rais wa Zamani na Muasisi wa Taifa la Zimbabwe Marehemu Mzee Robert Gabriel Mugabe katika Uwanja wa Taifa wa Michezo jijini Harare Zimbabwe. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Hafla hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...