Naibu
 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula 
akiwa na mtoto wake David Mabula (wa tatu kushoto) na mkewe Sandra Ndiwu
 wakisikiliza maelekezo kwa makini wakati wa hafla ya kuwapongeza 
kufunga ndoa. Hafla hiyo ilifanyika ukumbi wa Malaika Beach Resort 
jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. 
David
 Mabula na mke wake Sandra Ndiwu wakiwasili  katika ukumbi wa Malaika 
Beach Resort jijini Mwanza kwa ajili ya sherehe ya kupongezwa baada ya 
kufunga ndoa takatifu katika Kanisa Katoliki la St Joseph Kirumba Mwanza
 mwishoni mwa wiki.  
Naibu
 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula 
akifurahia jambo na Sandra Ndiwu (Mke wa mtoto wake) wakati wa hafla ya 
kusheherekea kufunga ndoa takatifu kwa mtoto wake David iliyofanyika 
ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza mwishoni mwa wikli. 
Mbunge
 wa Jimbo la Urambo Magreth Sitta akimvisha Khanga Naibu Waziri wa Ardhi
 Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Angeline Mabula kwa niaba ya 
Wabunge wenzake wakati wa hafla ya kumpongeza mtoto wa Mhe Dkt. Mabula 
aliyefunga ndoa na Sandra Ndiwu mwishoni mwa wiki. 
Katibu
 Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dorothy Mwanyika 
akisalimiana na Masajili wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba Stela Tullo 
wakati wa hafla ya kumpongeza mtoto wa Mhe Dkt Angeline Mabula 
aliyefunga ndoa mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya 
Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Ardhi Tutubi Mangazeni. 
Katibu
 Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dorothy Mwanyika 
(Kushoto) akiongoza watumishi wa Wizara yake kwenda kutoa zawadi wakati 
wa hafla ya kumpongeza mtoto wa Mhe Dkt Angeline Mabula aliyefunga ndoa 
mwishoni mwa wiki. 
Waziri
 wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akiwa katika 
picha ya pamoja na watumishi wa Wizara yake wakati wa hafla ya 
kumpongeza mtoto wa Mhe Dkt Angeline Mabula aliyefunga ndoa mwishoni mwa
 wiki jijini Mwanza. 
David
 Mabula mtoto wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt
 Angeline Mabula akizungumza wakati wa hafla ya kumpongeza kwa kufunga 
ndoa na Sandra Ndiwu mwishoni mwa wiki. Wengine pichani ni watoto wa mhe
 Dkt Angeline Mabula. 
Aliyekuwa
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mecky Sadick akifurahia jambo na   Sandra
 Ndiwu (Mke wa mtoto wa Mhe Dkt Angeline Mabula) wakati wa hafla ya 
kumpongeza mtoto wa mhe Dkt Angeline Mabula kwa kufunga ndoa mwishoni 
mwa wiki jijini Mwanza. 
Waziri
 wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akiwaongoza 
Wabunge wenzake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika picha
 ya pamoja na Naibu Wake Dkt Angeline Mabula (aliyekaa) wakati wa hafla 
ya kumpongeza mtoto wa Naibu Waziri Mhe. Dkt Mabula kwa kufunga ndoa  
mwishoni mwa wiki jijini Mwanza 
Mbunge
 wa Jimbo la Urambo mkoani Tabora Magreth Sitta akizungumza kwa niaba ya
 Wabunge wenzake  wakati wa wa hafla ya kumpongeza mtoto wa Naibu Waziri
  wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula kwa 
kufunga ndoa  mwishoni mwa wiki jijini Mwanza 
Bendi
 ya Twanga Pepeta ikitumbuiza wakati wa hafla ya kumpongeza Mtoto wa 
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline 
Mabula kwa kufunga ndoa mwishoni mwa wiki.(PICHA ZOTE NA WIZARA YA 
ARDHI)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...