Baada ya Mahakama Kuu ya Gauteng, Afrika Kusini, kuamuru kuwa ndege ya Air Tanzania iliyoshikiliwa nchini humo iachiwe na mlalamikaji alipe gharama za kesi, kikosi cha Watanzania kikiongozwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wakili Msomi Dkt. Damas Ndumbaro kilifika uwanjani na kutwaa ndege yetu chap chap

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...