Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
toka kwa Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga
taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa
uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye
hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba
30, 2019.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
baada ya Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga
kumkabidhi taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe
watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na
mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Jumatatu Septemba 30, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo
Mganga akitoa muhtasari kabla ya kukabidhi taarifa ya utekelezaji wa
ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari
kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019 Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea toka kwa
Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga taarifa ya
utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu
uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga
baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa
kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha
fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
leo Jumatatu Septemba 30, 2019. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Dkt.
Moses Kusiluka.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga baada ya kupiga naye picha ya pamoja na ujumbe wake mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga katika picha ya pamoja na ujumbe wake mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na na Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019. Picha na Ikulu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...