Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Mrithi wa Utawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji wa saini, kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar umewakilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi.Mohamed Ramia Abdiwawa na kwa upande wa Mfuko wa "Khalifa Fund" umewakilisha na Mwenyekiti wa Mfuko wa “Khalifa Fund” Sheikh. Hussain Ali Nowais alisaini kwa niaba ya Serikali ya (UAE). (Picha na Ikulu)


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mrithi wa Utawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan,baada ya kumalizika kwa hafla ya utiaji wa saini na Mfuko wa Khalifa Fund, uliofanyika katika makaazi ya Mtawala huo Mjini Abu Dhabi leo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja (kushoto) Mrithi wa Utawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan,na Mwenyekiti wa Mfuko wa “Khalifa Fund” Sheikh. Hussain Ali Nowais, na kulia Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...