Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) tokanchini Burundi wakipita huku wakicheza ngoma yao ya asili mbele ya Mgeni Rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi zao kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) tokanchini Tanzania wakipita mbele ya Mgeni Rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe(hayupo pichani) wakati wa matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi zao kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Bendera za Mataifa yanayoshiriki Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika
Mashariki (JAMAFEST) zikipandishwa kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) tokanchini Uganda wakicheza ngoma yao ya asili mbele ya Mgeni Rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi zao kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) tokanchini Tanzania Zanzibar wakicheza ngoma yao ya asili mbele ya Mgeni Rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi zao kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe
akisisitiza jambo kwa washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki(hawapo pichani) wakati wa matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi zao kuashiriakuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar esSalaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,Susan Mlawi(kushoto) akiwasalimia washiriki wa tamasha wa washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (hawapo pichani) wakati wa matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi zao kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa wizara hiyo Dk. Harrison Mwakyembe .
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya kupokea matembezi yakuonesha Utamaduni wa nchi za Afrika Mashariki kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Picha WHUSM –Dar es Salaam.





Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST)wakiwa katika matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi zao kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) tokanchini Rwanda wakicheza ngoma yao ya asili wakati wa matembezi ya kuoneshaUtamaduni wa nchi zao kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe
akiwapungia wananchi (hawapo pichani) wakati akipokea matembezi ya kuonesha Utamaduni wa nchi za Afrika Mashariki (JAMAFEST) kuashiria kuanza rasmi kwa tamasha hilo la siku nane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...