Na.Khadija seif, Michuzi TV
MFULULIZO wa kupachika Magoli muhimu kwa Timu ya Taifa ya England na Klabu yake ya Man United hivi karibuni kwa msimu huu wa 2019/2020.
Hatimae imemtambulisha upya kinda Marcus Rashford Kama mmoja ya Nyota vijana wakutazamwa Sana katika Soka Ulimwenguni kwa Sasa.
Alhamisi hii Mashetani wekundu watatua Nchini Ubelgiji kukipiga na Partizan Belgrade katika Europa League mapema saa 1:55 usiku.
Mechi hii itaoneshwa mubashara kupitia King'amuzi cha startimes pekee kwenye chaneli ya World Football.
Hata hivyo Mashabiki wanabaki na sitonfahamu Kuhusu Rashford kuiongoza Vema Man United katika Mchezo huu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...