Kamishna
Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo (mwenye suti) ambaye alikuwa
mgeni maalum akiungana na wanachama wa Umoja wa Wanawake wa Wakala wa
Huduma za Misitu Tanzania (UWAMITA) kuonyesha katiba ya umoja wao mara
baada ya kufanya uzinduzi wa umoja huo uliofanyika jijini Dar es
Salaam. Wanaoshuhudia pembeni ni wanachama wakiongozwa na Mwenyekiti wao
Bi. Frida Kundy (wa pili toka kushoto). Picha na Cathbert Kajuna -
Kajunason/MMG.
Kamishna
Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo (wa kwanza kulia) ambaye
alikuwa mgeni maalum akisoma katiba kabla ya kukata utepe ikiwa ishara
ya kuzindua Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania
(UWAMITA) katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia
pembeni ni wanachama wakiongozwa na Mwenyekiti wao Bi. Frida Kundy (wa
pili toka kwa mgeni maalum).
Kamishna
Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo (wa kwanza kulia) ambaye
alikuwa mgeni maalum akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua Umoja wa
Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (UWAMITA) katika hafla
iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia pembeni ni wanachama
wakiongozwa na Mwenyekiti wao Bi. Frida Kundy (wa pili toka kwa mgeni
maalum).
Kamishna
Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo ambaye alikuwa mgeni maalum
akizungumza na wanachama wa Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za
Misitu Tanzania (UWAMITA) wakati wa hafla ya kuzindua Umoja huo
iliofanyika katika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa UWAMITA
Bi. Frida Kundy na kutoka kushoto ni Bi. Lilian Patrick na Mama mstaafu
Bi. Gladness Mkamba.
Wanachama
wa Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (UWAMITA)
wakimsikiliza mgeni maalum wakati wa hafla ya kuzindua Umoja huo
iliofanyika katika jijini Dar es Salaam.
Kamishna
Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo ambaye alikuwa mgeni maalum
akionyesha katiba ya Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu
Tanzania (UWAMITA) mara baada ya kuzindua umoja huo, hafla iliyofanyika
jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa UWAMITA Bi. Frida Kundy na
kushoto ni Mama mstaafu Bi. Gladness Mkamba.
Mwenyekiti
wa Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania
(UWAMITA) Bi. Frida Kundy akizungumza na wanachama wa Umoja huo wakati
wa sherehe ya uzinduzi iliofanyika jijini Dar es Salaam.
Akina
mama wastaafu waliokuwa wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu
Tanzania (TFS) wakipiga makofi ambapo mbali na uzinduzi huo, akina mama
hao waliagwa rasmi.
Mama mstaafu Bi. Gladness Mkamba akitoa nasaha zake.
Kamishna
Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo ambaye alikuwa mgeni maalum
akigongeana glasi (Cheers) na viongozi wa UWAMITA na akinamama
waliostaafu ikiwa ishara ya upendo hafla iliyofanyika jijini Dar es
Salaam.
Kamishna
Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo ambaye alikuwa mgeni maalum
akiongoza zoezi la ukataji keki na viongozi wa UWAMITA na akinamama
waliostaafu ikiwa ishara ya upendo hafla iliyofanyika jijini Dar es
Salaam.
Kamishna
Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo ambaye alikuwa mgeni maalum
akilishwa keki na mmoja akinamama waliostaafu ikiwa ishara ya upendo
hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kamishna
Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo ambaye alikuwa mgeni maalum
akiwagawia keshi akinamama waliostaafu ikiwa ishara ya upendo hafla
iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania
(UWAMITA) Bi. Frida Kundy akicheza muziki na akinamama waliostaafu
wakati wa sherehe ya uzinduzi iliofanyika jijini Dar es Salaam.
Kamishna
Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo akiburudika na akina mama ambao
ni wanachama wa Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu
Tanzania (UWAMITA) mara baada ya umoja huo kuzinduliwa.
Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo akiwa katika picha ya
pamoja na viongozi wa UWAMITA pamoja na akina mama waliostaafu wakati wa
sherehe ya uzinduzi iliofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanachama wa UWAMITA wakifurahi katika picha ya pamoja.
Wanachama wa UWAMITA na viongozi wao wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...