Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli,
Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa) pamoja na Waumini
wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 33 ya Mwaka
“C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini
Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa parokia hiyo Padre Dkt. Alister
Makubi, Novemba 17, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli,
Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa) wakipeana mikono
ya Amani na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakati wa ibada ya Misa Takatifu
Dominika ya 33 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro
Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa
parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Novemba 17, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mtoto Cephas Kinunda
mara baada ya ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 33 ya Mwaka “C” iliyofanyika
katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Ibada iliyoongozwa na Paroko wa parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Novemba
17, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko wa parokia hiyo
Padre Dkt. Alister Makubi na Mzee wa Kanisa Dkt. Adelhelm Meru mara baada ya
ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 33 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa
la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Novemba 17, 2019.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...