KAMPUNI ya Wananchi Group Ltd hapa nchini Tanzania imetoa kauli kwa vyombo vya habari ya kumtangaza rasmi, Meneja Mkazi nchini Tanzania wa Wananchi Group kupitia Kampuni hiyo,Sanctus Mtsimbe.
Taarifa ya Kampuni hiyo kwa vyombo vya habari ambayo wametoa leo jijini Dar es Salaam kuwa kampuni yao amemteua Kennedy Ojungo kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya simbaNet.
Imeeleza kwamba Ikampuni hiyo inatoahuduma tofauti tofauti katika nchi nyingi barani Afrika ambapo miongoni mwa nchi zilizokuwa zinafanya kazi na kampuni hiyo ni pamoja Kenya, Uganda, Tanzania, Malawi na Zambia.
Aidha katika taarifa hiyo ilisema Mtsimbe amepitia katika uongozi mbalimbali ikiwemo Ofisa Mwandamizi wa SimbaNet Afrika Mashariki, pia tayari aliwahi kuwa na nafasi ya Meneja Mkuu wa Teknolojia ya Mawasiliano ya Airsys (Uingereza) na Meneja Mauzo wa Mkoa kwa Mawasiliano ya Danimex ya nchini Denmark.
Pia Kennedy ana uzoefu mkubwa katika tasnia ya Mawasiliano baada ya kufanya kazi katika uwezo wa juu wa mashirika anuwai ya kimataifa. Aidha Kikundi cha Wananchi hufanya biashara mbalimbali ikiwemo mawasiliano ya makazi, mtandao na huduma za burudani na huduma za mawasiliano ya biashara .

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...