Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiangalia mazoezi ya vitendo ya baadhi ya  askari wa Jeshi Usu wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) waliohitimu mafunzo ya utayari wa jeshi hilo katika eneo la Fort  Ikoma Serengeti,  mkoani Mara.
PICHA/ Aron Msigwa – WMU

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla  akiwasili katika eneo la Fort Ikoma ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara kufunga mafunzo ya utayari ya Jeshi Usu kwa watumishi 177 wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS).
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla  akipokea heshima ya kijeshi kutoka askari wa Jeshi Usu mara baada ya kuwasili katika eneo la Fort, Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara kufunga mafunzo ya utayari ya Jeshi Usu kwa watumishi 177 wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS).
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla  akikagua gwaride la  heshima la askari wa Jeshi Usu waliohitimu  mafunzo ya utayari ya Jeshi hilo kutoka Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) katika eneo la Fort, Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara.
Gwaride la ukakamavu la askari wa Jeshi Usu waliohitimu  mafunzo ya utayari ya Jeshi hilo kutoka wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) likipita mbele Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya utayari ya Jeshi Usu kwa watumishi 177 wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) eneo la Fort Ikoma  Serengeti mkoani Mara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...