Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunuku
Tunzo kwa Deogratius Chami kwa niaba ya Makundi ya watu wenye Mahitaji
Maalum kwa kutambua Mchango wao Mkubwa katika kutunza na kutangaza
Hifadhi za Taifa kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa
Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia
Viongozi na Wananchi kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa
Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe
kuzindua Minara Miwili ya kumbukumbu ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya
kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka
ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba 23,2019
katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua
Kasha la Wakati la kuhifadhia kumbukumbu za nyaraka za Hifadhi za Taifa
wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi
za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA)
yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma
Serengeti Mkoani Mara.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea
Saluti ya heshima kutoka kwa Jeshi Usu la Maliasili wakati wa
Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa
Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA)
yaliyofanyika leo Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma
Serengeti Mkoani Mara.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua
Gwaride Rasmi la Jeshi Usu la Maliasili kwa ajili ya Maadhimisho ya
Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA)
na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba
23,20

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunuku
Tunzo kwa Pro. Adolfo Mascarenhas kwa kutambua Mchango wake Mkubwa
katika kutunza na kutangaza Hifadhi za Taifa kwenye Maadhimisho ya Miaka
60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika leo Disemba
23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...