mcheza Golf ya Stephen Chuwalo, wa Lugalo akicheza wakati wa Mashindano ya Ndani ya Mwezi yaliyofanyika katika Viwanja vya Lugalo Jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Zantel anayemtazama ni mchezaji mwenzie,Nathan Mpangala. Picha na luteni Selemani Semunyu.
Mkurugenzi huduma za fedha na Masoko wa Zantel Tanzania Sakyi Opoku (watatu kulia) wakiangalia mpira na wachezaji wenzake wa Golf wakati wa mashindano ya mwezi yaliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf jijini Dar es Salaam, wa kni mchora vibonzo wa ITV ,Nathan Mpangala, Tinashe Motsi na Stephen Chuwalo. Picha na Luteni Selemani Semunyu
Mchezaji wa timu ya Golf ya Lugalo Khadija Selemani akipiga Mpira wakati wa mashindano golf ya mwezi yaliyoandaliwa na Zantel katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf jijini Dar es Salaam. Pich na Luteni Selemani Semunyu.
Mkurugenzi huduma za fedha na Masoko wa Zantel Tanzania (MFS) Sakyi Opoku (wapili kulia) wakiandika matokeo na wachezaji wenzake wa Golf wakati wa mashindano ya mwezi yaliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf jijini Dar es Salaam, anayeandika ni mchora vibonzo wa ITV ,Nathan Mpangala, Tinashe Motsi wa Kampuni ya C.A.O Agent Group na mchezaji wa timu ya Golf ya benki ya NMB Stephen Chuwalo. Picha na Luteni Selemani Semunyu

Mkurugenzi huduma za fedha na Masoko wa Zantel Tanzania Sakyi Opoku (watatu kulia) wakiangalia mpira na wachezaji wenzake wa Golf wakati wa mashindano ya mwezi yaliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf jijini Dar es Salaam, wa kni mchora vibonzo wa ITV ,Nathan Mpangala, Tinashe Motsi na Stephen Chuwalo. Picha na Luteni Selemani Semunyu

Mchezaji wa timu ya Golf ya Lugalo Khadija Selemani akipiga Mpira wakati wa mashindano golf ya mwezi yaliyoandaliwa na Zantel katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf jijini Dar es Salaam. Pich na Luteni Selemani Semunyu.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...