Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwasalimia wananchi , kwenye Shule ya Msingi
Mwisenge, ambayo alilokua akisoma Mwalimu, Julius Nyerere, katika
Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa na mkewe Mary, wakiwa wamekaa kwenye
dawati ambalo alikua akilpenda kulikalia Mwalimu Julius Nyerere, wakati
akisoma kwenye Shule ya Msingi Mwisenge, iliyopo katika Manispaa ya
Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mara,
Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizumza na wananchi, baada ya kukagua Shule ya Msingi Mwisenge, ambayo alilokua akisoma Mwalimu, Julius Nyerere, katiaka Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia darasa la Shule ya Msingi Mwisenge, alilokua akisoma Mwalimu, Julius Nyerere, iliyopo katiaka Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Afisa Elimu Mkoa wa Mara, Emanuel Kisongo,wakati alipotembelea Shule ya Msingi Mwisenge, alilokua akisoma Mwalimu, Julius Nyerere, iliyopo katika Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...