Leo Decemba 22, 2019 Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson amefanya ibada katika kanisa la Efatha Ministry la Mtume na Nabii Josephat Mwingira lililopo jijini Mbeya ambapo pia ameamua kuwasaidia watoto wasiojiweza kumi na moja (11) pesa za kununulia nguo za sikukuu za Krismasi na mwaka mpya ambapo kila mmoja amepata Tsh 50,000/=
Wakati huohuo Dkt. Tulia ameahidi kuwasaidia watoto hao mahitaji ya shule pindi watakapoanza msimu mpya wa mwaka 2020.
Wakati huohuo Dkt. Tulia ameahidi kuwasaidia watoto hao mahitaji ya shule pindi watakapoanza msimu mpya wa mwaka 2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...