RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa Tunzo Maalum ya Kusimamia na Muazilishi wa Utawala Bora Zanzibar na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman, wakati wa hafla ya Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu na Utawala Bora lililofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo. 16-12-2019.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Haki za Binadamu wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia (hayupo picha) katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...