Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Paramagamba Kabudi akiwa pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Dan Kazungu wakikata keki katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Jamhuri ya Kenya, iliyoadhimisha Desemba 12, 2019 kwenye hoteli ya Seacliff, jijini Dar es salaam.
Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Dan Kazungu akizungumza wakati akitoa hotuba yake katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Jamhuri ya Kenya, iliyoadhimisha Desemba 12, 2019 kwenye hoteli ya Seacliff, jijini Dar es salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Paramagamba Kabudi akiwa pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Dan Kazungu wakifatilia hafla hiyo.
Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Dan Kazungu akimuonyesha Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo sehemu ya picha za wapigania Uhuru wa Kenya, katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Jamhuri ya Kenya, iliyoadhimisha Desemba 12, 2019 kwenye hoteli ya Seacliff, jijini Dar es salaam.
Sehemu ya wageni waalikwa katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Jamhuri ya Kenya, iliyoadhimisha Desemba 12, 2019 kwenye hoteli ya Seacliff, jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...