RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akimkabidhi zawadi Kocha Mkuu wa Timu ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman
Moroco, wakati wa hafla ya kuwapongeza Wachezaji na Viongozi wa Timu
hiyo katika chakula maalum alichowaandalia Ikulu Zanzibar.(Picha na
Ikulu)

KOCHA Mkuu wa
Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Moroco akizungumza na
kuwatambulisha Wachezaji wa Zanzibar Heroes walioshiriki katika michuano
ya Kombe la Chalenji yaliofanyika Nchini Uganda, wakati wa hafla ya
chakula maalum walichoandaliwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohammed Shein
akiwapongeza Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes baada ya
hafla ya chakula cha maalum alichowaandali leo Ikulu Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu) .

RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar
Heroes na Washauri wa Rais waliosimama nyumba, waliokaa (kutoka kulia
kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi,
Jaji Mkuu wa Zanzibar.Mhe Omar Othman Makungu, Katibu Mkuu Kiongozi na
Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee,Kadhi Mkuu wa
Zanzibar.Sheikh Saleh Omar Kabi na Kocha Mkuu wa Zanzibar Heroes Hemed
Suleiman Moroco na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu, Naibu Spika wa Baraza la
Wawakilishi,MheMgeni Hassan Juma, Waziri wa Michezo Vijana Sanaa na
Utamaduni Mhe.Ali Karume na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe.
Hassan Khatib Hassan.(Picha na Ikulu)

WACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, (hayupo picha) katika chakula maalum alichowaandalia
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa kuwapongeza kwa kushiriki
katika michuano ya Kombe la Chalenji yaliofanyika Nchini Uganda.(Picha
na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...