Meneja wa Vodacom Kanda ya
Kaskazini Brigita Stephen(kushoto) akizindua simu ya mkononi aina ya
smart kitochi kwa Mikoa ya Kanda ya Kaskazini yenye uwezo mkubwa wa
internet ya 4G iliyozunduliwa Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Wafanyakazi
wa kampuni ya Vodacom wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa simu ya
mkononi aina ya smart kitochi kwa Mikoa ya Kanda ya Kaskazini yenye
uwezo mkubwa wa internet ya 4G iliyofanyika viwanja vya kituo cha mabasi
Mjini Moshi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...