Naibu Waziri,
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt.
Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na wadau wa Tija katika Ukumbi wa HAZINA
Ndogo jijini Dodoma wakati akifungua mkutano wa wadau hao kwa niaba ya
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, wenye lengo la kujadili uboreshaji wa utendaji kazi katika
Utumishi wa Umma ili kuongeza Tija.

Baadhi ya wadau wa Tija wakimsikiliza Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) katika Ukumbi wa HAZINA Ndogo jijini Dodoma
wakati akifungua mkutano wa wadau hao kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wenye lengo
la kujadili uboreshaji wa utendaji kazi katika Utumishi wa Umma ili
kuongeza Tija.

Naibu Waziri,
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt.
Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na wadau wa Tija wenye lengo la kujadili
uboreshaji wa utendaji kazi katika Utumishi wa Umma ili kuongeza Tija
katika Ukumbi wa HAZINA Ndogo jijini Dodoma kabla ya kufungua kikao cha
wadau hao kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Kaimu Katibu
Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Masilahi katika Utumishi wa Umma Bi.
Mariam Mwanilwa akimshukuru Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) mara baada ya
Naibu Waziri huyo kufungua mkutano wa wadau wa Tija wenye lengo la
kujadili uboreshaji wa utendaji kazi katika Utumishi wa Umma ili
kuongeza Tija katika Ukumbi wa HAZINA Ndogo jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...