Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akipeana mkono na Mhasibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Pascal Karomba wakati wa makabidhiano ya Tuzo ya Uandaaji bora wa taarifa za hesabu kwa mwaka 2018 ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais imeshika nafasi ya tatu. Tuzo hiyo imetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA).
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wahasibu mara baada ya kukabidhi tuzo hiyo Ofisini kwake jijini Dodoma. Tuzo hiyo imetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA).
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akipokea tuzo ya Uandaaji bora wa taarifa za hesabu kwa mwaka 2018 kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa
Ofisi hiyo Bw. Pascal Karomba ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais imeshika nafasi ya tatu. Tuzo hiyo imetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...