Hatimaye mashabiki watatu wa timu ya Yanga SC waliosafiri kwa baskeli kutoka mkoani Mtwara wamewasili leo Jijini Dar es Salaam tayari kuipa nguvu timu yao kwenye mchezo dhidi ya Simba takaochezwa Jumamosi tarehe 4, 2020 kwenye Uwanja wa Taifa.
Safari hiyo ilianza Desemba 28, 2019 , hivyo wametumia takriban siku tano njiani. .
Mashabiki wa Yanga waliotoka mpakani mwa Tanzania na Msumbiji huko Mtwara kwa usafiri wa basikeli wamewasili salama katika makao makuu ya Klabu hiyo JANGWANI jijini Dar es Salaam
.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...