"miche"
Showing posts with label miche. Show all posts
MTAJI wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, na mtaji wa tajiri ni pesa zake, utachagua wewe kutumia nguvu nyingi au kutumia pesa kidogo kisha unapata pesa nyingi na mizawadi kede kede, kwa dau la kuanzia 200 TZS tu kwenye Aviator unaweza kushinda TV inch 55, Simujanja mpyaa, na beti za bure mpaka 200,000/= TZS kama bonasi.

Promosheni hii unaipata kutoka Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ni kwa mchezo pekee wa Aviator ambao umekuwa pendwa sana kwa wachezaji wengi. Kubwa Zaidi kila unapocheza Aviator ya Meridianbet kasino ya mtandaoni unaokota Zaidi.

Fahamu Zaidi Kuhusu Promosheni.
Matangazo ya Madau kwa Ndege ya Zawadi ya Aviator imeanza tangu 21.02.2024 hivyo una nafasi kubwa Zaidi ya kushinda, kwa sababu bado hujachelewa.

Promosheni hii ni halali kwa wateja waliosajiliwa pekee kwenye tovuti na programu za simu za Meridianbet, hivyo kwa kutembelea Kasino ya Mtandaoni unaweza kuanzisha safari yako ya kurusha ndege ya Aviator na kuwa Rubani mshua Zaidi.

Kushinda ni rahisi; Unapokea pointi 15 kwa kila TZS 3000 zinazochezwa kwenye Aviator, na pointi 1 kwa kila mzunguko wa kasino ya mtandaoni unaochezwa.

Wachezaji bora wakati wa Aviator Gift Flight watapokea zawadi zifuatazo kutoka Meridianbet:

Nafasi ya 1 - Samsung TV inchi 55
Nafasi ya 2 - Samsung A24
Nafasi ya 3 na ya 4 – Beti za Bure za TZS 200,000 kwenye Aviator
Nafasi ya 5-6 – Beti za Bure za TZS 100,000 kwenye Aviator
Nafasi ya 7-10 – Beti za Bure za TZS 50,000 kwenye Aviator

Kwa Kujisajili na Meridianbet, moja kwa moja unakuwa umekidhi vigezo vya kushiriki promosheni hii yenye manufaa Zaidi kwako.

NB: Ili kushiri promosheni hii ni lazima uwe Umejisajili na Meridianbet na kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Na Zainab Nyamka, Michuzi TV

MiCHUANO ya Kufuzu Kombe la Dunia kwa watu wenye wenye ulemavu inafikia tamati kesho kwa timu ya Ghana na Liberia kucheza mchezo wa fainali utakaopigwa Kesho katika Uwanja wa Benjamini Mkapa.

Mchezo huo wa Fainali ya Michuano ya Soka Afrika kwa watu wenye Ulemavu (CANAF) itawakutanisha timu hizo ambazo tayari zimeshafuzu kwenda Kombe la Dunia mwaka 2022 nchini Uturuki.

Ghana ilipata nafasi ya kufuzu fainali baada ya kushinda kwenye mchezo wa Nusu fainali dhidi ya Angola kwa magoli 3 - 0, huku Liberia ikipata nafasi hiyo baada ya kuwafunga Tanzania goli 1-0.

Mchezo mwingine wa hatua ya mshindi wa tatu itakuwa ni kati ya Tanzania dhidi ya Angola utakaochezwa kesho mapema kwenye uwanja huo.

Naye Rais wa Shirikisho la soka la wenye Ulemavu (TAFF) Peter Sarungi,amesema kuwa anamshukuru mungu kwa jambo la kujivunia licha ya kukosa matokeo mazuri na ni sehemu ya kujifunza.

Amesema kuwa Tanzania ilipata nafasi nyingi lakini ikishindwa kuzitumua kwa wakati, hivyo wapinzani wakatumia na kuibuka na ushindi .

" Wapinzani wetu wana uzoefu na wamechukua makombe matatu na tuangalie ,hivyo kwa muda uliobakia kocha ataweza kuyafanyia kazi mapungufu ikiwamo ya ushambuliqji na umaliziajikabla kuelekea kombe la Dunia," amesema Sarungi

Timu hizo zote zimefanikiwa kutinga kombe la Dunia 2022 nchini Qatar


 



Hatimaye mashabiki watatu wa timu ya Yanga SC waliosafiri kwa baskeli kutoka mkoani Mtwara wamewasili leo Jijini Dar es Salaam tayari kuipa nguvu timu yao kwenye mchezo dhidi ya Simba takaochezwa Jumamosi tarehe 4, 2020 kwenye Uwanja wa Taifa.
Safari hiyo ilianza Desemba 28, 2019 , hivyo wametumia takriban siku tano njiani. .


 Mashabiki wa Yanga waliotoka mpakani mwa Tanzania na Msumbiji huko Mtwara kwa usafiri wa basikeli wamewasili salama katika makao makuu ya Klabu hiyo  JANGWANI jijini Dar es Salaam

.