Na Woinde Shizza,Arusha
Imeelezwa kuwa Mkoa wa Arusha unakabiliwa na upungufu wa madawati
elfu 25000 pamoja na vyumba vya madarasa elfu moja .
Hayo yamebainishwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo wakati
alipokuwa akipokea msaada wa madawati 18 yaliyotolewa na benki ya
Frist National Bank (FNB) kwa ajili ya kupunguza tatizo hilo katika
shule zilizopo mkoani hapa
Gambo alibainisha kuwa japo kuwa kunaupungufu wa madawati hayo pamojacna vyumba vya madarasa lakini hakuna mwanafunzi hata mmoja ambaye ameacha kwenda shule kutokana na tatizo hilo .
“tunaupungufu wa madawati kweli na madarasa katika wilaya zetu za
mkoa wa Aursha lakini sisi kama mkoa tumehakikisha hakuna mwanafunzi
hata mmoja ambaye ameacha kuja shule au anakaa chini kutokana na
tatizo hilo ,wanafunzi wote wapo shule lakini kitu ambacho kinatokea
ni kwamba kama dawati lilitakiwa kukaa watoto wawili sisi tumeongeza
wanakaa watatu haya yote ni kuhakikisha watoto wetu wanaingia darasani
kupata elimu kama inavyotakiwa huku tukiangalia namna ya kutatua
tatizo hili”Alibainisha Gambo
Alisema kuwa anashukuru sana kwa benki hii kuwapatia msaada huu huku
akichukuwa nafasi hiyo kuwataka wakuu wote wa wilaya za Arusha
kutobweteka kutokana na kuona baadhi ya wadau wanaleta msaada wa
madawati badala yake wafanye kazi kwa bidii ili kuhakikisha tatizo
hili linamalizika haraka sana kwa mkoa wa Arusha .
Kwa upande wake katibu tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega
alisema kuwa msaada huu wamadawati utawasaida kwa kiasi kikubwa
kuimarisha na kuboresha elumu kwani ,miundo mbinu ya elimu ikiwa
vizuri taaluma itapanda na watoto wataweza kufaulu vizuri
Alisema mkoa wa Arusha unampango wa kuanza kufanya mitiani ya
miuhal ili kuimarisha elimu na kuongeza ufaulu zaidi ,hivyo aliwata
wadau hawa kuendele akushirikiana ili waweze kuleta maendeleo ya
kitaaluma katika mkoa huu ,huku akisisitiza kuwa jukumu la maendeleo
katika huu ni lakila mdau
Kwa upande wake katibu tawala wa wilaya ya Arusha D avid John
Mwakiposa aliwashukuru benki hii kwakutoa msaada huu ambapo alisema
utawasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza tatizo hilo ,huku akiwataka
wadau mbalimbali,sekta binafsi,pamoja na tasisi kujitokeza kusaidia
kumaliza tatizo hili.

Naye meneja wa Benki ya FNB tawi la Arusha Edna Kalape alisema kuwa
wameamua kujitolea kusaidia tatizo hili na watajitaidi kusaidia zaidi
pale ambapo wataweza ili kumaliza kabisa changamoto hizi.
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa amempa
mkono meneja wa tawi la benki ya First national Bank(FNB) mkoa wa
Arusha Edna Kalape isha ya kupokea msaada wa madawati kwa ajili ya
shule za mkoa wa Arusha juzi(jana) ambapo benki hiyo imetoa madawati
18 kwa ajili ya shule za mkoa wa Arusha ambapo kwa mujibu wa mkuu wa
mkoa huo amesema kuwa hadi sasa mkoa wa huo unaupungufu wa madawati elfu 25000(picha na Woinde Shizza ,Arusha ).

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...