KATIBU Mkuu Wizara ya Vijana Michezo Sanaa na Utamaduni Zanzibar.Ndg.
Omar Hassan (King) akisoma utaratibu wa hafla ya Taarab Rasmin ya
Kikundi cha Taifa kuadhimisha Sherehe za Maadhimisho ya Mapinduzi ya
Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akimsalimia Msanii Mkongwe wa Taarab Visiwani Zanzibar
Bi.Mwanajuma Ali Hassan, aliyeimba wimbo wa ( Mpunga Kinuni ) baada ya
kutambulishwa wakati wa Taarab rasmin ya kuadhimisha Miaka 56 ya
Mapinduzi ya Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, iliofanyika kaja usiku.(Picha na
Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar.Mama Mwanamwema Shein, akimtunza muimbaji wa
wa wimbo wa “ Tarehe Kumi na Moja “ Msanii Iddi Suwed, wakati wa hafla
ya Taarab rasmin ya kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar jana usiku 12-1-2020.(Picha na Ikulu)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Mama
Fatma Karume wakifuatilia moja ya wimbo ukiimbwa wakati wa hafla ya
Taarab Rasmin ya kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wakijumuika katika hafla ya Taarab rasmin ya Kikundi cha Taifa
Zanzibar ,kuadhimisha sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
ilifanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu) .
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na (kushoto kwa Mama)
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe. Samia Suluhu
Hassan na (kuli) Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha
Suleiman Iddi, wakifuatilia hafla ya Taarab Rasmnin ya Kikundi cha Taifa
Zanzibar, kuadhimisha sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MSANII wa Kikundi cha Taifa Zanzibar. Ndg. Khamis Nyange (Profesa
Gogo) akiimba wimbo wa “Tumbili hafugiki “ wakati wa hafla ya
kuadhimisha sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, iliofanyika
katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakili Kikwajuni Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MSANII Mkongwe Zanzibar wa Taarab.Bi. Fatma Issa akiimba “Wimbo wa
Haya Maumbile Yangu “ wakati wa hafla ya Taarab Rasmin ya Kikundi cha
Taifa Zanzibar, kuadhimisha sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar,
iliofanyika jana usiku 12-1-2020, katika ukumbi wa Sheikh. Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali
Mohamed Shein, mgeni Rasmin katika Taarab Maalum ya Kikundi cha Taifa
Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Jijini Zanzibar, akijumuika na Wananchi na Viongozi, (kushoto
kwa Rais) Waziri wa Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar.Mhe.
Balozi Ali Karume na (kulia kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania.Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...