LUC Eymael Kocha Mkuu wa Yanga, raia wa Ubelgiji na Riedoh Berdien, Kocha wa viungo wameingia mkataba wa mwaka mmoja na miezi sita kuitumikia Yanga.
Eymael amejiunga na Yanga akichukua mikoba ya Mwinyi Zahera ambaye alitimuliwa ndani ya kikosi hicho kutokana na kuwa na matokeo mabovu ndani ya Yanga.
Leo, Mbelgiji huyo alianza kazi na kikosi chake hicho kinachojiaanda kumenyana na Kagera Sugar, Jumatano katika mchezo wa ligi.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...