Kamishna Jenerali wa Magereza,
Suleiman Mzee akiongoza kikao kazi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la
Magereza kutoka katika vituo vilivyopo Kanda ya Dar es Salaam, leo
Februari 10, 2020.

Kamishna wa Magereza
anayeshughulikia na Utawala na Rasilimali watu, Uwesu Ngarama akitoa
maelezo ya awali kabla ya kumkaribisha Kamishna Jenerali wa Magereza,
Suleiman Mzee(katikati meza kuu) kuzungumza katika kikao kazi cha
Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka katika vituo vilivyopo
Kanda ya Dar es Salaam, leo Februari 10, 2020.

Maafisa Waandamizi wa Jeshi la
Magereza wakifuatilia kwa umakini mkubwa maelekezo ya Kamishna Jenerali
wa Magereza aliyoyatoa katika Kikao kazi cha Maafisa na Askari wa Jeshi
la Magereza kutoka katika vituo vilivyopo Kanda ya Dar es Salaam leo.

Baadhi ya Askari wa kike wa Jeshi
la Magereza kutoka vituo mbalimbali vya Magereza, Kanda ya Dar es Salaam
wakisikiliza maelekezo ya Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman
Mzee(hayupo pichani) katika Kikao kazi hicho(Picha zote na Jeshi la
Magereza).

Kamishna Jenerali wa Magereza,
Suleiman Mzee(kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya
Urekebishaji Tanzania, ACP. Joel Matani kabla ya kikao kazi cha Maafisa
na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka katika vituo vilivyopo Kanda ya
Dar es Salaam, leo Februari 10, 2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...