RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano
na Mazingira Mhe.Mussa Hassan Zungu (katikati) wakati alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar leo kujitambulisha akiwa ujumbe wake (Kushoto) Mkurugenzi
wa Muungano Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk.(Picha na Ikulu.)
14/02/2020.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...