Kamishna wa Operesheni na Mafunzo
ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, akisalimiana na mwakilishi wa
Kampuni ya utengenezaji wa pikipiki aina ya Kinglion baada ya kuwasili
Makao Makuu ya Polisi Jijini Dar Es Salaam walizozitoa kwaajili
yakusaidia shughuli mbalimbali za Jeshi la Polisi ikiwemo Doria.

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo
ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, akiwa amepanda pikipiki moja
kati ya 10 zilizotolewa na Kampuni ya Kinglion ndani ya Jeshi la Polisi
kwaajili ya shughuli mbalimbali za Jeshi

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo
ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, wa saba kutoka kulia akiwa
katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja
na wawakilishi kutoka kampuni ya Kinglion baada ya kukamilika zoezi zima
la makabidhiano ya kupokea pikipiki 10 aina ya Kinglion zitakazotumia
Mkoani Dodoma kwaajili ya shughuli za Jeshi la Polisi (Picha na Jeshi la
Polisi)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...