

Makamu Mwenyekiti wa CCM,Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akikaribishwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, kushiriki katika kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ⇛ akikaribishwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...