Lori lililokuwa likitoka jijini Dar es Salaam kuelekea mkoa wa Pwani likiwa limeanguka na kuingia mtaroni katika barabara ya Kilwa  eneo Mto Mzinga  Mbagala wilaya ya Temeke  jijini Dar as Salaam leo, chanzo cha ajali hiyo kufeli breki   (picha na Emmanuel Massaka Michuzi Tv) 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...