Mgeni rasmi mbaye ni Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE) Profesa Emmanuel Mjema akisoma hotuba yake kwa watahiniwa na wageni waalikwa wakati wa Mahafali ya 12 ya Wahitimu wa Stashahada ya Uzamili na Shahada ya Uzamili wa mifumo ya teknolojia ya habari na uongozi yaliyoandaliwa na Chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM) kwa kushirikiana na chuo cha Avinashillingam Deemed(AUD) cha nchini India.
Mkuu wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) Profesa Tadeo Satta akizungumza wakati wa Mahafali ya 12 ya Wahitimu wa Stashahada ya Uzamili na Shahada ya Uzamili wa mifumo ya teknolojia ya habari na uongozi yaliyoandaliwa na Chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM) kwa kushirikiana na chuo cha Avinashillingam Deemed(AUD) cha nchini India.
Mgeni rasmi mbaye ni Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE) Profesa
Emmanuel Mjema akiwatunuku watahiniwa wakati ya Mahafali ya 12 ya Wahitimu wa Stashahada ya Uzamili na
Shahada ya Uzamili wa mifumo ya teknolojia ya habari na uongozi
yaliyoandaliwa na Chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM) kwa kushirikiana na
chuo cha Avinashillingam Deemed(AUD) cha nchini India.
Baadhi ya Wahitimu wa Stashahada ya Uzamili na Shahada ya Uzamili wa mifumo ya teknolojia ya habari na uongozi wakipewa vyeti vya kuhitimu wakati wa mahafali ya 12 yaliyoandaliwa na Chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM) kwa kushirikiana na chuo cha Avinashillingam Deemed(AUD) cha nchini India
Baadhi ya Wahitimu wa Stashahada ya Uzamili na Shahada ya Uzamili wa mifumo ya teknolojia ya habari na uongozi wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmu wakati wa mahafali ya 12 yaliyoandaliwa na Chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM) kwa kushirikiana na chuo cha Avinashillingam Deemed(AUD) cha nchini India
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...