Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mwanga Community Centre
uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Februari 21,2020

Wananchi wakimsikiliza Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika katika uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo Manispaa ya
Kigoma Ujiji, Februari 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...